Summer
time ni ngoma maarufu sana ya actor na mwanamuziki Will Smith. Moja
kati ya ngoma ambazo hadi leo zikiwekwa kwenye maeneo ya starehe bado
watu wanazielewa kutokana na ukali wake. Hiyo ilikuwa ni miaka ya 90,
lakini 2013 mwanae Will Smith ambaye ndiyo binti wa pekee kwenye familia
yao akiwa na kaka zake wawili…Willow Smith
na yeye ametoa ngoma ambayo inafanana kidogo jina na Summer time lakini
wake unaitwa Summer Fling. Nakupa nafasi ya kuiona na video yake kwa
mara ya kwanza mtu wangu wa nguvu kama bado haijakufikia.