Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Tana River, baada ya baadhi ya
wenyeji kugundua kuwa kwa muda wa juma moja, wamekuwa wakila nyama ya
fisi waliyouziwa bila kujua. Hii ni baada ya mizoga ya fisi, ikiwemo
vichwa na sehemu nyingine kupatikana zimetupwa, huku nyama nyingine
ikiaminika kuuziwa wafanyibiashara wa nyama.
TAZAMA VIDEO YA TUKIO HILO HAPA CHINI