Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

Video:Aibu Baba na mwanae wakamatwa wakifanya mapenzi na kuku

Nchini Kenya katika kijiji cha Kigwandi, wilayani ya Tetu, mwanaume mmoja anashilikiliwa katika kituo cha polisi baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na kuku.

Mwanamume huyo mwenye umri wa zaidi ya miaka 50 alikamatwa akifanya kitendo hicho na kuku juzi jioni na mwanae mwenye umri wa miaka 10 aliyeamua kumwita kaka yake na ndipo ikasaidia kukamatwa kwa mtu huyo.

Kaimu afisa mkuu wa polisi katika eneo hilo, Joseph Mwika alisema mtoto wa jamaa huyo alimuarifu ka’kake mkubwa baada ya kumfumania babake akifanya kitendo hicho na wawili hao walimripoti baba yao kwa chifu wa eneo hilo ambaye alimkamata na kumpeleka katika kituo cha polisi.
source:Standard Digital,kenya
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...