VIDEO YA LADY JAYDEE "YAHAYA" YAANZWA KUTENGENEZWA LEO DUDE AVAA UHUSIKA WA YAHAYA
Video ya hitsong ya mwanadada komando Lady Jay Dee imeanza kushutiwa leo
jioni, na DUDE ndiye aliyevaa uhalisia kama YAHAYA kwenye video hiyo.
KAA TAYARI kuiona video hiyo