WAISLAMU WASWALI TARAWEHE KANISANI.

Uongozi wa Kanisa Moja nchini Marekani lililopo katika mji wa Burke, kaskazini mwa Virginia, umewatengea eneo katika jengo la Kanisa kwa ajili ya

waislamu waishio eneo hilo, ili kuswali swala ya ishaa, tarewehe na ijumaa.

tukio hilo limepokelewa kwa furaha na hishima kubwa na waislamu waishio jimbo hilo ambao wengi wao wageni kutoka nchi mablimbali duniani.

Mmoja ya waumini hao alipongeza uwamuzi wa kanisa hilo kutenga sehemu kwa ajili ya waislamu kufanya ibada katika mwezi huu mtukufu wa

ramadhani, ،

''kanisa limeonyesha ushirikino, uvumilivu wa kinidi na kusaidiana katika masuala ya kijamii'', alisikika muumini huyo wakati akiripotiwa na radio sawa

ya nchini Marekani inayorusha matangazo yake kwa lugha ya kiarabu.

Chini video waislamu wakiswali tarawehe kanisani: