Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

Video: Mabeste na Lisa wakimuonesha mtoto wao aliyezaliwa jana ‘Kendrick’


Hii ni video inayomuonesha rapper Mabeste akiwa na mchumba wake Lisa wakiongea kwa mara ya kwanza baada ya kupata mtoto wao wa kwanza jana, Kendrick. Kwenye video hii, Mabeste anasema wamempa jina hilo mtoto wao kwakuwa mama yake (Mabeste) anampenda sana rapper wa Marekani, Kendrick Lamar.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...