Uliziona picha 10 za 50 Cent akionyesha ufahari nyumbani kwake na kusisitiza kwamba hayuko jela?
Rapper 50 hivi karibuni amekua kwenye headlines kwa kudaiwa
kumfanyia fujo nyumbani kwake mpenzi wake wa zamani ambapo adhabu ya
kosa hilo inaweza kuwa miaka mitano jela au kulipa faini….. sasa baada
ya kuwekwa kwenye headlines sana 50 Cent amemua kutoa picha akiwa
amerelax na kusisitiza kwamba hayuko jela, yuko huru tena batani. 50