Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 6, 2013

MAJAJI WATEMBELEA KATIKA BANDA LA MAGEREZA

photo
Bw. Alpherio Nchimbi ambaye pia ni Mshauri Mwelekezi katika Ujenzi wa Mradi wa Kiwanda cha kutengeneza Kofia ngumu Gereza Kuu Ukonga akiwaeleza Majaji ubora wa Kofia ambazo zitaanza kuzalishwa hapa nchini katika Gereza Kuu Ukonga, Dar es Salaam(mwenye Vazi la Pinki) ni Jaji wa Mahakama Kuu, Mhe. Imani Aboud( kulia kwa Jaji Aboud) ni Mhe. Jaji Ibrahim Mipawa(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).photo
Mrakibu wa Magereza na Mtaalam wa Kilimo wa Jeshi la Magereza, Daimu Mmolosha akiwaeleza Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aina mbalimbali za mbegu zinazozalishwa katika Mashamba ya Jeshi la Magereza  zikiwemo Mbegu za Mahindi, Maharage na Karanga kama zinavyoonekana katika picha( mwenye Vazi la Pinki) ni Mhe. Jaji. Imani Abooud na wa pili kutoka kulia ni Mhe. Jaji. Ibrahim Mipawa( wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Banda la Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Julius Sangu’di( Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...