Zanzibar Filim Festival bado inaendelea na msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu amejikuta mwenye furaha tele baada ya kushinda tuzo ya Best Actress in Swahili Film kupita movie ya Woman of Principles ya RJ Company. Movie hiyo ambayo imeigizwa na Ray,Nagris Mohamed na Lulu mwenyewe, ilifanya vizuri mwaka jana na ni ilipata nafasi ya kuingia kwenye tuzo hizi za ZIFF. ZIFF ni tamasha kubwa sana Africa nzima huku likiwa kutanisha wadau mabalimbali wa filamu, inaonekana hii itakuwa ni kick ya Lulu kufunguka kimataifa zaidi baada ya kupata platform kama hii.
Sunday, July 7, 2013
TAZAMA TASWIRA NZIMA YA UTOAJI WA TUZO ZA ZIFF,LULU MICHAEL ANG'ARA