Mheshimiwa rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi
Erick
Shigongo mkurugenzi wa kampuni ya Global publishers, waandaji wa
Tamasha la matumaini akitoa neno la ufunguzi: CHANZO JIACHIE BLOG
Mmoja wa Wabunge wa Yanga akionyesha mbwmbwe zake wakati wakiingia katika vyumba vya kubadilisha nguo tayari kwa maandalizi ya mechi dhidi ya watani wao Simba.
Baadhi wa wabunge wa Yanga wakiingia uwanjani kufanya mazoezi