Baada
ya kutamba na singles zake “Jambo Jambo” and “It’s all about Music”
zilizotoka mwanzoni wa mwaka huu , Msanii Mkali wa RnB East Africa,
Steve RnB anatarajia kuachia single nyingine mpya July 9th, 2013.
Single hiyo mpya inaitwa “Huyu Demu” ambayo amemshirikisha Mr. Blue
Steve RnB - Huyu Demu Ft Mr. Blue
Stay Tuned!!
Twitter: @SteveRnBTz
Facebook: @TheRealSteveRnB
Thanks,
Kvelli Management LTD