Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Tuesday, July 16, 2013

SOMA ALICHOKIANDIKA MSANII CHID BENZ FACEBOOK KUHUSU MADAWA YA KULEVYA

  .
Hii ni status ya July 15 2013 kwenye facebook ya Rapper Chidi Benz ambae mwaka 2011 kupitia millardayo.com alitangaza kuachana na uvutaji wa bangi ambao alikiri ulimfanya afanye mambo mengi yasiyo mazuri na hata kutoa picha mbaya kwa watu mbalimbali iliyotokana pia na ukorofi wa kupiga watu mara kwa mara.


Chidi Benz on dawa za kulevya July 15 2013 Chidi Benz on dawa za kulevya July 15 2013 COMMENTS Chidi Benz on dawa za kulevya July 15 2013 COMMENTS 2
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...