Sikiliza hapa ngoma mpya ya Mzee Magari, msanii mwingine wa bongomovie aliyehamia kwenye muziki.
Wiki
kadhaa zilizopita msanii wa bongomovie Rose Ndauka alishirikishwa
kwenye collabo na kundi la TNG Squard kwenye wimbo wao mpya, baada ya
hapo idadi ya wasanii wa bongomovie ambao wanafanya muziki ilizidi
kuongezeka wakiwafuata wakina Snura na Shilole ambao wao wanafanya
vizuri sana. Leo hii msanii mkongwe na maarufu sana kwa kuigiza kama mtu
katili au wakati mwingine mtu tajiri, hapa namzungumzia Mzee Magari
ametoa wimbo wake unaitwa “Dar Raha”. Kwenye interview na millardayo,com
Mzee Magari analisema “Ninampango wa
kuifanya fani hii ya muziki kuwa serious kama ilivyo kwa upande wa
movie. Sijatoa huu wimbo kwa kujifurahisha bali muziki pia ni kitu
ninachokipenda. Kuna baadhi ya wasanii wanafahamu historia yangu na
muziki kabla hata sijaanza kuigiza movie“.
Sasa basi mtu wangu wa nguvu hii ni nafasi yako kusikiliza hiyo ngoma ya Mzee Magari kwa mara ya kwanza exclusive hapa kwenye