| 
Heee aliposema Sintah akarukiwa kwenye media zote nini na nini mbuta nanga.Nothing
 personal to be honest ila watanzania tusipende kudanganyana jamaniii, 
juzi tu tulikuwa na kampeni za kwenda World Cup 2014 Brazil na kamati 
zikaundwa za kutosha tu, leo hakuna hata anayejua ndoto zimefia wapi now
 heeee.
Mtu
 anayekupenda lazima akwambie ukweli, truth sets a person free sasa 
sielewi kwa nini sie watanzania hatupendi critics rather tunapenda 
urahisi wa maisha vitu vitokee tu pap ndo maana mabinti wanaamua kubeba 
madawa e.t.c TUSIPENDE KURAHISISHA MAISHA
Joke
 of the year ni pale mtu hana hata album, nyimbo mbili/tatu tu za 
mdumange anakuja kutuambia eti Jenifer Lopez kafurahi anataka kufanya 
naye nyimbo kiruuuuuu. Charity begins at home, hujawagusa hata kina Lady Jaydee sogeasogea mpaka kwa kina Wahu na Juliana Kanyomozi kwanza ndo at least uje utudanganye Lolest. Kuna tofauti gani sasa kati ya huyu na wale waliotuambia tutaenda Brazil 2014?????
Tukijipanga timu yetu ya taifa itashiriki World Cup. Why not?
 Msanii ukijipanga hakuna kinachoshindikana, nini JLO unaweza fanya featuring hata na Jay Z lakini sio kutuletea mambo ya mfalme njozi kwa kuwa umepata sponsor kakusafirisha basi mburula mwanzo mwisho.
 
kuwa exposed ukubwani linaelekea kuwa janga la taifa sasa....Dont hate critics, you can learn a lot from them!
I
 had to say that because nasumbuliwa sana na media kila mara simu na 
interviews, I got nothing to hate on nothing... Im always honest 
nasubiri kupigwa now kama alivyoahidi Lolest. 
Thx kwa wale mliokuwa mna mtazamo kama mie coz sio wanafiki, Mungu anapenda sana wasema ukweli.
 
 sitaki tena media 
yeyote sasa iniulize hili swala that's it, huu ndio ukweli wangu na 
sipendi kupigiwa simu kwasababu sitaki kumpa mtu hypes za kumtajataja, 
got better things to do than discuss issues that aint no valuable.
 
 
 
Good Day. Xo Xo 
Unstoppable |