Gari
Maalum la Hifadhi ya Kilimanjaro aina ya UNIMOG lililotengenezwa
Ujerumani linaloweza kuhimili njia ya kiutawala ya kufika hadi kituo
cha Kibo Mlimani Kilimanjaro likiwa limembeba mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Leonidas Gama waandishi wa habari na maofisa wa hifadhi ya
mlima Kilimanjaro na TANAPA wakati wakikagua athari za moto uliotokea na
kuunguza baadhi ya maeneo ya mlima kilimanjaroWanahabari wakipanda gari hilo kwa ajili ya kuelekea kituo cha Horombo kuangalia athari za moto.Safari ya kuelekea Horombo ikiendelea na Mlima Kilimanjaro ukionekana kwa mbali.
Safari ikiendelea huku vumbi kubwa likitimkaMkuu wa Wilaya ya Moshi Dk. Ibrahim Msengi (mwenye kofia nyeupe) alikuwa ndani ya UNIMOG kuelekea HoromboMkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa ndani ya gari kuelekea HoromboMkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na ujumbe wake wakiwasili eneo la Horombo kukagua athari za moto
Milima inayoonekana kwa mbali ndiyo iliyoungua na motoMkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro Erastus Lufungulo (kushoto) akisoma taarifa ya moto kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro akishika pande la barafu lililoganda eneo la
Horombo ambapo ni urefu wa Mita zaidi ya 3,700 juu ya uswa wa bahari.
Picha zote na mdau Pascal Shelutete