Rayuu ambaye ni muigizaji wa filamu tayari amechumbiwa na mwenyewe
kuamua kuweka picha facebook. Msanii huyo alipoulizwa kama ni kweli au
anatania, alikiri kuwa ni kweli na mwanaume aliyemchumbia ni yule yule
aliyempa stress wiki kadhaa zilizopita na Rayuu mwenyewe kupost picha
facebook akisema anavuta bangi(weed) ili kuondoa stress za mapenzi kwa
kumpenda mtu tangu utotoni ila amegundua mtu huyo hampendi. Rayuu
alipoulizwa ndoa yake imepangwa kuwa lini hakujibu mpaka tunaandika
habari hii. Picha chini inaonyesha actress huyo akiwa na pete yake
aliyovishwa..