Rapper
Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake
aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo
kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.
“Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia
kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay
.
Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba wake kwenye Instagram akiwa hospitali na kuandika:
Happy
bday my lv, Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele. Japo
imekukuta uko vibaya tumempoteza kijacho bt ni mipango ya mungu,
nakupenda sana mke..!! #966# happy bday 2u ma.”