Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha na waziri wa uingereza
anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es
salaam leo july 12, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiongea na waziri wa uingereza anayeshughulikia
maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam leo July
12, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza waziri wa uingereza
anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es
salaam leo July 12, 2013.