Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, July 12, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA NAIBU WAZIRI MKUU WA KUWAIT IKULU DAR ES SALAAM LEO JULY 12, 2013

k2  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaamk3  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaamk4 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa na ujumbe wake aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaam
k5  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa na ujumbe wake aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaamk6 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa ambaye na ujumbe wake ametembelea leo Ikulu Dar es salaam.
 
PICHA NA IKULU
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...