Huyu ndiye Rais wa Marekani, Barack Obama mwingine ni photocopy
Rais wa Marekani, Barack Obama akionesha kipaji chake kwenye mitambo ya kuzalisha umeme iliyoko ubungo leo
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete(kulia) alishindwa kujizuia nae akaanza kucheza mpira na Rais wa Marekani, Barack Obama