Msanii
wa muziki wa bongo freva Criss wamarya, atawasindikiza na kuwapamba
warembo wanaowania taji la Miss Star katika ukumbi Hotel ya Nashera
ya mijini Morogoro Ijumaa ya Th 5 July 2013.
Criss ameahidi show kali huku mratibu wa shindano il ndugu Charles
Odinga akiwataka wana Morogoro kujitokeza ili washuudie Kinyang'anyiro
hicho ambacho kwa mara ya kwanza mkoani hapa.
Pia mwanadada Joha Khasim T. Moto Taarab, Dar classic Girls,
Double Vibration Moro, na warembo kibao tka Tanga, Dar, Zanziba nk.