Mbunge wa
jimbo la Musoma mjini kwa tiketi ya chadema,Vicent Nyerere aliyeshika chupa ya
maji akipata maelezo toka kwa meneja wa mradi wa maji Rajesh Parihar unaojengwa
katika eneo la Bukanga nje kidogo ya mji wa Musoma jana alipotembelea mradi
huo,mradi ambao unatarajia kukamilika mwakani ambao umeghalimu kiasi cha cha
shilingi bilion 40-picha na Berensi Alikadi