PICHA YA LEO: HILI NDILO KANISA DOGO KULIKO YOTE DUNIANI LITIZAME HAPA
Hili
ndilo kanisa dogo kuliko yote duniani lilijengwa mwaka 1989. Kanisa
hili linaweza kuingiza watu wawili (2). Kanisa hili liko nje kidogo ya
mji wa Syracuse, New York nchini Marekani