Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 20, 2013

PICHA NYUMBANI KWA DIAMOND PLATNUM NA NAMNA TAKE ONE WALIVYOREKODI KIPINDI

Hii ilikuwa siku ya jana baada ya kupata futari na ndugu,jamaa  na marafiki na watu wasiojiweza Presenter wa kipindi cha Take One Zamaradi ambae nae alikuwa  mmoja wa wageni waalikwa aliamua kubadilisha mazingira na kuamua kunifanyia Interview mimi
 pamoja na familia yangu juu ya mfungo huu wa ramadhani na Jinsi tunavyokabiria na mambo
 mbalimbali ya kidunia ndani ya mwezi huu... 
Aliweza pia kuongea na Mama yangu mzazi Bi Sandrah,Cuzin
 Brother Rommy Jones,Dada zangu Esmah & Darlenee ..... Kuzungumzia mambo ya ndani ya kifamilia na n.k
Unaweza ukacheki picha kadhaa za nyuma ya pazia za Interview hiyo ya Take one special ndani ya mwezi wa ramadhani iliyofanyika nyumbani kwangu sinza,bila kusahau utaona kabisa kipindi kizima ndani ya TAKE ONE kwenye luninga yako kupitia Channel ya CLOUDS TV...kila Jumanne saa 9:30 usiku...USIKOSEEEE..!! 



Kuanzia ndani shuguli nzima ilianzia.....
Zamaradi akitangaza nje ya Nyumba .....
Nikiwakaribisha wageni wangu toka Take one na crew nzima ya Clouds Tv...
Mahojiano yalianzia nje na Zamaradi....




Baada ya kufturisha mimi na familia yangu kwa ujumla tuliweza kukaa chini na kufanya mahojiano na zamaradi mketema......

Rommy Jones akizungumza jambo .....

Mama yangu alishindwa kuzungumza lolote kwa wakati ule......

Nikizungumza kwa Niaba ya Familia.....

Aunt Tahiya mtoto wa dada yangu akisoma Dua  kutufungia zoezi zima la mahojiano na Zamaradi...

Credit: This is Diamond
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...