Meneja
Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza na wanahabari katika banda
la NSSF ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara Sabasaba mara baada ya
kutangazwa washindi. NSSF wametwaa ushindi wa jumla wa maonesho ya
Sabasaba 2013 na washindi wa kwanza kwa taasisi za fedha katika maonesho
hayo.
Baadhi ya
Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakipiga
picha na vikombe viwili walivyoshinda kwenye Maonesho ya 37 ya Biashara
leo maarufu kama Sabasaba. NSSF wametwaa ushindi wa jumla wa maonesho ya
Sabasaba 2013 na washindi wa kwanza kwa taasisi za fedha katika
maonesho hayo.
Mmoja wa
wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kulia
akimsikiliza mteja katika banda la NSSF ndani ya Maonesho ya 37 ya
Biashara Sabasaba.