Hayo
ni maneno aliyoandika Dada Regina Mwalekwa wa Clouds Radio kupitia Blog
yake kuhusiana na tukio la binti ambaye ni yatima kuchomwa moto kwa
kula kiporo cha ugali…
. “Sura
imeniparama kwa maumivu ya Dora mimi ni mzazi so ilinigusa mnooo!
Yatima wanateswa jamani, lakini watu wanasahau kua yatima na wajane ni
jicho la Mungu aliye hai, fanya ufanyacho malipo ni hapa hapa
ulimwenguni”.