Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, July 5, 2013

Mcheki Masanja Mkandamizaji akiwa nje ya jengo la Ikulu ya Marekani

Comedian toka Tanzania, Emanuel Mgaya, maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiwa nje ya Ikulu ya Marekani jijini Washington. Masanja yuko nchini Marekani kwa matembezi na shughuli zake za sanaa na Injili.




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...