Juu na
chini ni Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia
wakati akifunga rasmi Kozi ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC),
katika sherehe za maafali ya wahitimu wa mafunzo hayo zilizofanyika
chuoni hapo Kunduchi, Jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Charles Omari Mkumbo, wakati wa
sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi
jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013.
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe hizo, waliochanganyikana na wahitimu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Hassan Khatib Hassan, wakati wa sherehe
za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini
Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013.
Baadhi ya Mabalozi wa Nchi za nje nchini Tanzania (kulia), waliohudhuria sherehe hizo (kushoto) ni baadhi ya wahitimu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Charles Makakala,
wakati alipokuwa akitembelea katika Maktaba ya chuo hicho, baada ya
kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, leo Julai 2013
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Faustine Martin Kasike, wakati wa
sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi
jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013.
Baadhi ya wahitimu wa Kozi hiyo, wakiwa na zawadi na Vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na baadhi ya viongozi, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na
wahitimu wa Kozi hiyo, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo
hicho, leo Julai 2013.
kwa picha zaidi b ofya read more
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika
Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Brig Gen Yacoub Hassan Mohamed, wakati
wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho,
Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013.
Juu na
chini ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wakufunzi wa Kozi
hiyo, Eginald Mihanjo, Reginald Mengi na Ibrahim Lipumba, baada ya
kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, leo Julai 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Gen Mstaafu wa Jeshi,
George M. Waitara (Rtd) wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo
zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo
Julai 20, 2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Prof. Ibrahim
Lipumba, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika
Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti cha utambulisho wa Ukufunzi wa Kozi maalum ya Kwanza
ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Dkt. Regnald Abraham
Mengi, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo
hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR