Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiandika
maelezo ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Dk Wilbrod Slaa wakati alipokuwa anachangia mada ya Mustakabali wa
Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya
kuzijibu hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza
kuwa, watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni
lazima wafuate sheria.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akijibu hoja mbalimbali
za washiriki katika Kongamano la Amani na Usalama wa Taifa kwa miaka 50
ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali katika
kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Nkrumah, Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka kufanya
maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akisalimiana
na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu baada ya kuzijibu hoja
mbalimbali za washiriki katika Kongamano la Amani na Usalama wa Taifa
kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu hoja mbalimbali
katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa, watakaotaka
kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima wafuate sheria.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wapili kushoto)
akifurahi jambo wakati alipokuwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Chadema,
Dk Wilbrod Slaa mara baada ya kufungwa kwa Kongamano la Amani na
Usalama wa Taifa kwa miaka 50 ijayo. Waziri Nchimbi licha ya kuzijibu
hoja mbalimbali katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, alisisitiza kuwa,
watakaotaka kufanya maandamano ya aina yoyote ile nchini ni lazima
wafuate sheria. Picha na Felix Mwagara. Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.