Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, ACP Engelbert I. Kiondo akionyesha
nyaraka mbalimbali za Tanesco alizokamatwa naza kishoka.(Picha na Makongoro Oging' / GPL)
Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, ACP Engelbert I. Kiondo, amemkamata
kishoka ambaye hakutajwa jina lake kwa sababu za uchunguzi akiwa na
nyaraka mbalimbali za Tanesco ikiwemo simu ya upepo (radio call), sare
za Tanesco ikiwemo kofia na alikutwa na mafaili sita yakiwa na picha za
wateja wake aliokuwa akiwahudumia kinyemela.