Naibu Waziri Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philip Mulugo
Chanzo www.kalulunga.blog
MKOA wa Mbeya umepitisha mapendekezo
ya mkoa mpya ambao makao yake makuu yatakuwa katika eneo la Mkwajuni
ambako ndiko liliko jimbo la Naibu Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi
Philip Mullugo.
Mapendekezo hayo yamepitishwa leo katika kikao cha RCC kilichoketi katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa Jijini Mbeya.
Jina la mkoa huo limependekezwa kuwa uitwe mkoa wa Songwe.
Mapendekezo hayo yamepitishwa leo katika kikao cha RCC kilichoketi katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa Jijini Mbeya.
Jina la mkoa huo limependekezwa kuwa uitwe mkoa wa Songwe.