Mji wa Zhouzhuang
uko Kusini Mashariki mwa jiji la Suhzou. Huna historia ya miaka zaidi
ya 900, maana watu walikuwa wanaishi kwenye mji huu wa maji bila tatizo
lolote. Mji wa Zhouzhuang kwa
umaarufu wake unitwa MJI WA MAJI maana mji wote umezungukwa na maji na
usafiri wao mkubwa ni mitubwi na boti ambazo huwasaidia kuwatoa eneo
moja kuwapeleka eneo lingine. Mara nyingi wasanii huwa wanatengeneza movie kwenye mji huu wa Zhouzhuang kwani ni kivutio kikubwa katika mauzo ya movie zao.
Endelea kutizama picha kwa kubofya hapa chini
Credit: Pix Grove