Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, July 13, 2013

HASHEEM THABEET AWA KIVUTIO UWANJA WA TAIFA!!!! WABONGO WAMSHANGAA:




Mtanzania anayecheza kikapu katika Ligi ya Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet, amekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka kwenye Uwanja wa Taifa,Dar.

Thabeet anayecheza katika timu ya Thunder, aliibuka na kuwasalimia mashabiki wakati Taifa Stars ikivaa Uganda nao walimshangilia kwa nguvu sana.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...