Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(Suti nyeusi) akiwa na
Makamishna Wakuu wa Magereza kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za
Kusini mwa Afrika katika hafla fupi aliyowaandalia baada ya kumaliza
Kikao cha Mawaziri wanaohusika na Ulinzi na Usalama toka Nchi za Jumuiya
ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika( wa kwanza kushoto ni
Kamishna Mkuu wa Magereza wa Zambia, Percy Chato, ( wa pili kushoto) ni
Kamishna Mkuu wa Magereza wa Msumbiji, Dkt. Eduardo Sebastiao, (wa tatu
kushoto) ni Kamishna Mkuu wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Tom Moyane, (wa
kwanza kulia) ni Mwakilishi wa Kamishna Mkuu wa Malawi, Naibu Kamishna
wa Magereza, Ms. Phiri, ( wa pili toka kulia) ni Mwakilishi wa Kamishna
Mkuu wa Namibia, Kamishna wa Magereza, Ms. Feris. Hafla hiyo ilifanyikia
katika Viwanja vya Bustani ya Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia
Magerezani, Ukonga, Dar es Salaam( Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa hotuba fupi
wakati wa hafla aliyowaandalia Makamishna Wakuu wa Magereza Nchini toka
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika. Hafla hiyo
imefanyikia katika Bustani ya Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia
Magerezani, Ukonga Dar es Salaam(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza)Mwakilishi
wa Kamishna Mkuu wa Magereza Nchini Namibia, Bi. Feris akitoa neno la
shukrani kwa Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, John Casmir
Minja(Suti nyeusi)kwa kuwaandalia hafla hiyo fupi pamoja na kupata fursa
ya kubadilishana mawazo ya namna ya Uendeshaji wa Magereza. Hafla hiyo
imefanyikia katika Bustani ya Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia
Magerezani, Ukonga Dar es Salaam(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja ( suti
nyeusi)akimkabidhi Zawadi ya Kikapu Kamishna Mkuu wa Magereza wa Zambia,
Percy Chato. Kikapu hicho kimetengenezwa na Wafungwa wa Gereza Kuu
Ukonga. Hafla fupi ya kuwakaribisha Wakuu wa Magereza Nchini toka
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika imefanyikia katika
Bustani ya Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani, Ukonga Dar es
Salaam(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).Kikundi
cha Sarakasi kinachoundwa na Askari wa Jeshi la Magereza wakionesha
umahiri wao katika hafla ya kuwakaribisha kama unavyoweza kumuona Askari
wa Kike ambaye alikonga nyoyo za Makamishna Wakuu wa Magereza toka
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika hawapo pichani(Picha
na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).