Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya
Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo asubuhi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya
Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifuatana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya
Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,baada ya
mazungumzo yao leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}