Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera (kulia), akizungumza alipotembelea
hivi karibuni Kiwanda cha Kibuku cha Darbrew, kilichopo Ubungo Dar es
Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Kirowi Suma.
Kulia ni Akoli Mbilinyi ambaye ni Ofisa Rasilimali Watu wa kiwanda
hicho.
Joel Bendera (kulia) akitembelea kiwanda hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho. Kirowi Suma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Kibuku cha Darbrew Limited, Kirowi Suma
(kushoto), akielezea mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera
kuhusu utendaji wa kiwanda hicho. Bendera alitembelea hivi karibuni
kiwanda hicho kilichopo Ubungo Dar es Salaam.
Bendera akiwa ndani ya kiwanda hicho kilichopo Ubungo karibu na Kituo Kikuu cha Mabasi