Baada ya kamera zilizokuwa zimetegwa sehemu mbali mbali za mgahawa alipokwenda Justin Bieber kufanikiwa kumnasa msanii huyo akikojoa kwenye ndoo za kufanyia usafi huku akimimina dawa za kufanyia usafi kwenye picha ya Rais mstaafu wa marekani Mh:Bill Clinton na kumtukana Rais huyo kwa kusema "F--k Bill Clinton," Msanii huyo baada ya kugundua kosa lake aliamua kuomba msamaha kwa jamii nzima ya wamarekani na pia kumuomba msamaha Rais huyo kwa kitendo alicho kifanya.
Baada ya Bieber kuomba msamaha,Rais huyo mstaafu alisema "If that is the worst thing you have ever done, all is well." Let's not be so naïve.
Na hii ni tweet ya justine Bieber kwenda kwa Mh. Rais