Mwanamuziki Akon, ambaye kwa
namna flani alichukizwa na kitendo cha George Zimmerman kuachiwa na
kutokana na kutokutwa na hatiani juu ya kosa la kumpiga risasi na
kumuuwa Trayvon Martin mwenye umri wa miaka.
Kutokana na maamuzi hayo Akon
kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika ujumbe huo hapo jana, ujumbe
ambao ulizua mjadala mkubwa kwenye timeline yake kutokana na baadhi ya
mashabiki kukubaliana naye na wengine wakipinga.
Credit: Jestina-George.com