Kaimu
Mkurugenzi wa Kinga wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Neema
Rusibamayila (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam
leo, wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari kuhusu umuhimu wa kutumia
dawa za kinga tiba ambazo zitaanza kutolewa bure juni 22 hadi 27 mwaka
huu na wizara hiyo katika Mkoa wa Dar es Salaam na Mwanza kupitia mpango
wa taifa wa kutokomeza magonjwa ambayo yalikuwa hayajapewa kipaumbele
(NTD’s). Kulia ni Mratibu wa Taifa wa magonjwa hayo, Dk. Upendo
Mwingira.
Wahariri wa vyombo mbalimbali wakiwa kwenye semina hiyo.
Mmoja wa wanahabari hao akichangia mada.