Mkuu wa usalama
barabarani mkoa wa Morogoro, Boniface Mbao akizungumza katika eneo la tukio
alisema kuwa ajali hiyo imehusisha magari matatu aina ya Mistubishi Fuso lenye
namba ya usajili T 855 BZW kugongana na Scania zenye namba ya usajili T 657 AFJ
yaliyogongana uso kwa uso na wakati yakitaka kulipita scania nyingine yenye
namba ya usajili na T 827 AJJ ambayo ilishindwa kupanda mlima na kuziba robotatu
ya barabara na kupelekea watu watano kufariki dunia na majeruhi wawili