Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 3, 2013

Kwa Mashabiki Wa Msanii Bruno Mars:Mama Yake afariki

   

Kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo Bruno kwa mama yake alipokuwa na umri wa miaka Minne aliweza kumuimbia mama yake wimbo huu wa "I LOVE YOU MOM"
 Usikilize hapa..Bruno Mars aliuimba akiwa na Umri wa miaka Minne kwa kwaajili ya mama yake.

 




Msanii maarufu wa POP ajulikanaye kwa jina la Bruno Mars amefiwa na mama yake aitwaye Bernadette Hernandez(55) baada ya kuugua ugonjwa unaofahamika kitaalamu kwa jina la brain aneurysm kwa muda mrefu. Mama huyo alifariki juzi J'mosi
Bruno Mars(27) ambaye ni mmoja katika ya watoto sita ya familia yao.Bruno alikiri kuwa mama yake ndiye mwalimu aliyeweza kumfundisha utumiaji wa sauti yake katika uimbaji.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...