VITA NI VITA SASA :Polisi Wamtaka Mbowe Athibitishe Kuwa Polisi Walihusika Vipi Katika Bomu La Arusha La Sivyo...
Polisi wamemtaka Mbowe na Bwana Lema wathibitishe mara moja jinsi polisi
walivyo husika katika mauaji ya Arusha,wakishindwa basi watachukuliwa
hatua kali za kisheria.