Mbunge Wa Ccm Nkassi Mwenye Tabia Ya Kusema Ovyo Atoa Mpya Tena Bungeni
BUNGENI ............ Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ANAKINUKISHA BUNGENI ........
ANATAKA WALE WOTE WALIODHURUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA
WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAKO;;; (rekodi
aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka
maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa
muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa
mjengoni)PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA
KUJAMBA AMA LAA..........