Video:Chris Brown awaaibisha Tyga na Soulja Boy mbele ya umati mchana kweupe
Kama sehemu ya matukio ua utangulizi kuelekea ufunguzi wa tukio kubwa
kabisa la tuzo za BET ambazo zitatolewa leo huko Marekani, Mastaa
mbalimbali wamepata nafasi ya kukutanishwa kwa pamoja na kucheza game ya
Bascketball ambapo mwanamuziki maarufu, Chris Brown alikuwa ndio
kiongozi wa Team Lime, iliyokuwa inaundwa na Keke Palmer, Shane Mosley,
pamoja na Mike Epps, na timu hii ndiyo iliyoshinda kwa pointi 49-43
dhidi ya timu ya wakina Tyga na Soulja Boy - Team Lemon.
Baada ya game hii kwisha pia wakali hawa walipata nafasi ya ku-hang na mashabiki wao, kupiga picha na kusaini Autographs;