Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, June 27, 2013

UJIO WA OBAMA .... WALINZI NA NDEGE YA KIJESHI VYAANZA KUTUA


Baadhi ya Helkoper za kijeshi toka Marekani ambazo zinadaiwa zimeanza kutua kwenye Air Port ya Zanzibar na Dar kwa ajili ya kuimarisha usalama wa Rais wa nchi hiyo.

Pia ndege maalum ya kivita itasindikiza Air Force One ya Rais Barak Obama

Askari maalum wa kulinda ndege ya Rais

Walinzi wa rais Obama kama wanavyoonekana
Helkoper zitasambaa jiji zima la Dar kuanzi wiki hii hadi tarehe 2 Julai atakapoondoka Rais


Na Livingstone Mkoi
Sasa kazi imeaaza ndivyo tunavyoweza kusema kwa sasa. Ambapo ndege na Helkoper za kijeshi toka Jeshi la Marekani zimeanza kuwasili ikiwa ni maandalizi tu ya kuimarisha ulinzi na usalama kwenye ujio wa Rais Obama.

Wakiongea na Xdeejayz baadhi ya maofisa wa Aripot walisema kuwa " Ndege zimeanza kuingia hasa nyakati za usiku ambapo tayari kuna Helkopter kadhaa zimeshuka usiku wa jana hapa Airpot ya Zanzibar na Dar hivyo kweli hali ya usalama ni kubwa sana" Alisema ofisa huyo

Aidha watafiti wa mambo wameiambia Xdeejayz kuwa ulinzi wa Obama umekuwa mkubwa kuliko wa Georg W.Bush ilivyokuwa miaka kadhaa iliyopita.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...