Yussuf Salim Hussein wa CUF akiapa kuwa mbunge Bungeni Mjini Dodoam Juni 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu mawali Bungeni Mjini Dodoma Juni 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa, Joseph Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Juni 2013.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya kutoka Kata ya Silambo waliotembelea Bunge, Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20, 2013.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wageni wa Mbunge wa Urambo Magharibi,
Profesa Juma Kapuya kutoka Kata ya Silambo waliotembelea Bunge,
Ofisini kwake, BungeniMjini Dodoma Juni20, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi
kwenye viwanja vya Bunge MjiniDodoma Juni 20, 2013.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)