Sehemu ya Umati wa wananchama na wapenzi wa chadema wakiongoza msafara
kwa ajili ya kuaga miili ya watu waliofariki dunia kwenye mlipuko wa
bomu uliyotokea kwenye mkutano wa chadema viwanja vya soweto arusha wiki
iliyopita
Hili ndilo jeneza lililolobeba mwili wa marehemu ukipelekwa sokon kwa ajili ya kuagwa
Picha
za Mazishi ya mwenyekiti wa BAWACHA kata ya Sokoni I Judith William
Moshi, aliye fariki kwa mlipuko wa bomu kwenye viwanja vya Soweto jijini
Arusha siku ya kufunga kampeni za chaguzi ndogo tarehe 15.06.2013.
Mbunge wa mbeya mjini-Chadema Joseph Mbilinyi aka Sugu akiwa na Mbunge wa iringa mjini-Chadema Peter Msigwa wakiongoza msafara.
Sehmu ya Umati wa wananchama na wapenzi wa chadema wakiongoza msafara wa
wa chadema watua Arusha kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho kwa
wale waliofariki katika mkutano wa Chadema viwanja vya soweto mjini
arusha wiki iliyopita