Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa
Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole kwa
familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado watu
walikuwa wanamuhitaji.Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair umechelewa
kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata kibali cha
kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya Kusini.Radhia
alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo utawasili siku
ya Jumanne




