Rais
dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la
Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es
Salaam jana asubuhi. Kulia ni Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa
Tanzania Mhe.Job Ndugai
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe.
Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam jana asubuhi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika
wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam Jana asubuhi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la
Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU



