Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, June 27, 2013

BABY MADAHA Apata pedeshee



Msanii wa Mziki na Filamu hapa Bongo, Baby Madaha aka queen of swaggz ampata mwanaume maarufu na kuanza kufanyiwa mambo makubwa ambayo hakutegemea kufanyiwa.

Licha ya kumpata mtu maarufu siku ya J,mosi tarehe 29.6.2013 atafanya utambulisho wa wimbo wake mpya wa ‘NITEGE’ pamoja na mavazi yake katika ukumbi wa Regency Mikocheni.

Pamoja na hayo kutakuwa na show mbalimbali zitakazotolewa, kutakuwa na designer alioshirikiana nao katika kubuni mavazi ambayo yataonyeshwa siku ya show yake.

“Yeah nimempata mtu maarufu na ni mtanzania (the famous and also is the symbol of Nation) ila sitaweza kumtaja jina hadi pale muda utapofika kila mtu atamjua”
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...